Skip Navigation

National Geographic Society Este programa se distribuye en los Estados Unidos y Canadá por National Geographic y EHD. [obtenga más información]

DVD ilustrado plurilingüe

La biología del desarrollo prenatal




BIOLOJIA YA UKUAJI WA MTOTO TUMBONI

.Swahili


 

Descargar versión en formato PDF  ¿Qué es PDF?
 

Desarrollo embrionario: 4 a 6 semanas

Capítulo 11   4 semanas: líquido amniótico

Kufikia wiki 4 amioni nyepesi-wazi huunza kuzunguka kijitoto na imo katika mfuko maji. Huu maji salama huutwao maji ya amioni huumpa kijitoto ulinzi kutokana na majeruhi.

Capítulo 12   El corazón en acción

Moyo kwa kawaida hupiga Mara 113 kwa dakika.

Kumbuka kuwa Moyo ubadalisha rangi damu unapoingia na kuondoka kwa kila mpigo.

Moyo hupiga Takriban mara millioni 54 kabla ya kuzaliwa na zaidi ya millioni 3.2 Katika maisha Ya kufikia miaka 80.

Capítulo 13   Crecimiento del cerebro

Ukuaji wa haraka wa ubongo hudhihirishwa na mabadiliko katika umbo wa sehemu ya mbele ya ubongo ubongo-kati Na ubongo-nyuma.

Capítulo 14   Esbozos de las extremidades y piel

Maungo ya juu unaanza kuumbika Kwa kujitokeza Kwa mizizi yake kufikia wiki 4

Ngozi wakati huu huwa wazi na nyepesi Kwa sababu upana wake ni wa chembe moja tu.

Wakati upana wa ngozi uanapozidi kuimarika, uwazi huu utafungika, kumaanisha kwamba tutaweza kuona viungo vya ndani Vikikua kwa karibu muda wa mwezi moja tu.

Capítulo 15   5 semanas: hemisferios cerebrales

Kati ya wiki 4 na 5, ubongo uendelea kukua kwa haraka na kujigawa katika sehemu tano mahuzusi(ada).

Kichwa hujumuisha karibu 1/3 wa ujumla wa sehemu za kijitoto.

kizio wa ubongo hujitokeza, na pole pole pole ikakua na kuwa sehemu kubwa zaidi ya ubongo

Kazi zitakazotekelezwa na ubongo, ni kama vile, fikira, kujifunza, fikira,kuongea,kuona, kuzikia, mienendo ya viungo na kutatua mambo.

Capítulo 16   Vías respiratorias principales

Katika mfumo wa pumuzi, upande wa kushoto na kullia wa mizizi wa mifereji mdogo wa pumzi huwepo na mwisho utajiunganisha na bomba kubwa wa kufutia hewa, na mayavuyavu.

Capítulo 17   Hígado y riñones

Ini kubwa unao jaza sehemu ya tumbo uonekana karibu na moyo unayopika.

Figo wa kudumu ujitokeza baada ya wiki 5.

Capítulo 18   Saco vitelino y células germinales

Mfuko -maji huwa na chembe uzazi za mwanzo Zaitwazo chembe zalishi chipuzi Kufikia wiki 5 hivi chembe chipuzi huhamia sehemu za uzazi karibu na figo.

Capítulo 19   Placas de las manos y cartílago

Pia kufikia wiki 5 kijitoto huunda mzizi wa kiganja na mifupa mwororo huanza kuumbika kufikia wiki 5 i/2.

Kufikia hapa tutaweza kuona kiganja cha kushoto na kiwiko katika wiki ya 5 na siku 6