| |
El período embrionario (Las primeras 8 semanas)
Desarrollo embrionario: Las primeras 4 semanas
Capítulo 3 Fecundación
|
| |
| Kibiolojia
"kukuwa kwa binadamu
huanza mara baada ya kutunga mimba"
wakati mwanamke na mwanaume
wote hujumuisha chembechembe umbile
Kupitia ujumuishaji
chembechembe zao zalishi.
chembechembe zalishi za mwanamke
kwa kawaida zaitwa "mayai"
lakini kitaalamu huitwa usait(oocyte)
nazo, chembechembe
zalishi za mwanaume
kwa kawaida huitwa "mbegu ya kiume"
Lakini kiutalamu
Ni spamatozuni(spermatozoon).
kufuatia kuajiliwa kwa "yai" (usait)
kutoka mfukoni mwake
katika hali uitwabo kuona mwezi,
yai huungana
na mbeku ya kiume
katika moja
ya mifereji ya chupa,
ambayo kwa kawaida
huitwa mifereji ya mayai(fallopian).
mifereji ya chupa
huunganisha mfuko wa mayai
na chupa au
chumba cha mtoto.
kitakajo umbika ni chembe
embryoni huitwao kitaalamu zaigoti,
Huumaanishao
"kuchanganyikana au kuunganika"
|
Capítulo 4 ADN, división celular y factor temprano de embarazo
|
| |
| chembechembe halisi 46 ya zaigoti
huwakilisha hatua ya kwanza
ya kuumbika kwa
chembechembe tambulishi ya upekee
ya mwanadamu binafsi.
Huu umbile mzingi
hujikita Mwanana
katika chembe huitwao kitaalamu DNA,
(Chembe Tambulishi mzingi)
huwa na maakizo
ya ukuaji
Ya mwili mzima
Chembe Tambulishi mzingi(DNA)
hufanana na ngazi iliojibinda
Huitwao hesi kuwili.
pandio za ngazi
huumbwa kwa chembe pacha .
au miundo misingi huitwao "guanin"
"Saitosini", "adenin", na "thimin"
|
| Guanin huungana
tu na saitosin
nayo adenin na thimin.
kila chembe ya binadamu huwa
na takriban billioni 3
ya miundo misingi pacha .
DNA ya chembe kimoja
huwa na habari muhimu mingi
ambayo ukiwakilishwa
na maneno andishi
kwa kutaja tu erufi ya kwanza
ya kila muundo misingi
Itajukuwa zaidi ya ukurasa
billioni moja na nusu(1.5)
ukifuatanishwa moja
baada ya nyingine,
DNA kwa chembe ya binadamu
huwa na kipimo cha futi 3 1/3
au mita 1.
|
| Iwapo tungenyoosha
DNA zote
katika chembe trillioni 100
mwilini mwa binadamu,
itafika umbali
zaidi ya maili billioni 63.
umbali huu hufikia safari ya
Dunia hadi Jua na kurudu
mara 340.
|
| Takribani masaa 24 hadi 30
Baada ya kutunga mamba,
Zaigoti hukamilisha
Kugawanyika kwa chembe msingi
kwa mara ya kwanza
kupitia mfanyiko huitwao
"maitosis"
Kila chembe hugawanyika
vipande viwili, viwili vikawa nne
na kuundelea.
|
| Mapema ya masaa 24-30
baada ya kutunga mimba
mimba hiyo unaweza kutibithishwa
kwa kupima chembe misingi
huitwao homoni
hatua huitwa "mwanzo tambulishi wa mimba"
katika damu ya mama.
|
Capítulo 5 Etapas iniciales (mórula y blastocito) y células madre
|
| |
| Kufikia siku 3-4
Baada ya kutunga mimba
chembechembe yanayo gawanyika ya embryoni
huwa na umbo wa kibiringo
na embryoni huu
huitwa morula.
Kufikia siku 4-5, mwanya huumbika
Katika hizi chembe
nayo embryonic ukaitwa
blastosaikot.
chembe ndani ya
blastosaikot
zaitwa
chembe mrundiko
ay chembe za ndani
nayo huunda kichwa,mwili
na sehemu
muhimu zote ya binadamu huyu changa.
chembe katika
ule mrundiko wa chembe za ndani
yaitwa chembe msingi ya embryoni
kwa sababu zina uwezo
wa kuunda kila
mojawapo wa zaidi ya chembe aina 200
zinazo jumuishwa
katika mwili wa binadamu.
|
Capítulo 6 1 a 1½ semanas: implantación y gonadotropina coriónica humana (GCH)
|
| Baada ya kusafiri chini
ya mfereji wa chupa
embryoni changa
ujipenyeza
Katika ukuta wa ndani
wa nyumba ya mtoto.
mfanyiko huu huitwao
upenyezaji, huanza siku 6
na humalisika siku 10-12
baada ya kutunga mimba.
chembe hizi za ebryoni changa
huanza kuzalisha homoni
huitwao "korionik",
"gonadotropin" au "hCG"
chembe ambazo hupatikanaKatika nyingi
ya vipimo vya mwanzo wa mimba.
hcG huelekeza homoni ya mama
kuzimamisha kuona mwezi kwa kawaida,
na kuruhusu mimba kukua.
|
Capítulo 7 La placenta y el cordón umbilical
|
| Kufuatia ule kujipenyeza ,
chembe katika kando kando
ya blastosisti
huzalisha sehemu moja wapo
hutwao kizalio,
ambayo hutumika kama kiunganishi
kati ya mfumo-zungusha damu ya mama
na ya embryoni.
Kizalio husafirisha hewa,chakula,
homoni, na dawa ndani ya
binadamu huyu changa;
hutao uchafu wote;
na kuzuia damu ya mama
kuchanganyika
na ya mtoto changa umbile.
Kizalio pia
huzalisha homoni
na hudumisha kiwango bora ya joto
kwa mtoto
juu kidigo kuliko
ya mama.
Kizalio huwasiliana
na mtoto changa anaye kua
kupitia ukamba.
Uwezo wa hudumishaji wa maisha
wa Kizalio ulinganishwa na
vile vya vyumba vya wagonjwa mahututi
upatinayo katika hospitali za kisasa.
|
Capítulo 8 Nutrición y protección
|
| |
| Kufikia wiki 1
chembe mrundiko ya ndani
huunda rusu mbili huitwao
hipoblast
a nyingine, epiblast.
Hipoplasti huzalisha
ule mfuko wa maji,
ambayo ni sehemu moja wapo wa miundo
kupitia kwayo
chakula kutoka kwa mama
hufukia mtoto.
chembe kutoka epiblast huunda
mfuko mwepesi hufunikayo mtoto
huitwao aminion,
ambamo kwayo embroyoni
na kijusu kilicho kua
hulelewa hadi kuzalawi.
|
Capítulo 9 2 a 4 semanas: capas germinales y formación de órganos
|
| |
| Takriban wiki 2 ½
epiblasti utakuwa umeunda
chembe 3 maalum
au miundo chipuzi rusu
huitwao ectodam,
endodam,
na mesodam.
Ectodam huchipuza
na kuwa sehemu misingi mingi
ikiwamo ubongo,
uti wa mgongo,
michocheo,
ngozi,
vidole,
na nywele.
Endodam huzalisha sehemu za ndani
za mfumo wa kufutia pumzi
na viungulia,
na huzalisha sehemu kubwa
ya viungo muhimu
kama vile ini
na "pankrisi".
Mesodam huunda moyo,
figo,
mifupa,
ufupa mwororo,
misuli,
chembe za damu,
na viungo vinginevyo.
|
| Kufikia wiki ya 3
ubongo huunza kugawanyika
katika sehemu tatu nyeti
huitwao ubongo mbele,
ubongo kati,
Ubongo nyuma.
kuundwa kwa mfumo pumzi na
kiungulia
pia huanza wakati huu.
|
| Wakati chembe za damu
zinapo jitokeza
katika ule mfuko maji
mifereji ya damu huundwa
kote kote embryoni,
na sehemu anzishi ya moyo
huanza kuchipuza.
Karibu mara moja,
ule moyo unaanza kukua
kwa haraka
huunza kujikunja
na sehemu zake muhimu
huuanza kuumbika.
Moyo huunza kupiga
wiki 3 na siku moja
baada ya kutunga mimba.
Mfumo wa kuzungusha damu
ni mfumo wa kwanza wa mwili,
au kundi la viungo
vinavyohusiana
Kupata kuweza kufanya kazi .
|
Capítulo 10 3 a 4 semanas: el plegamiento del embrión
|
| |
| Kati ya wiki na wiki 4,
mpangilio wa umbo wa mwili
huchipuza
huku ubongo,
uti wa mgongo,
na moyo wa kijusu
huuanza kutambulika kwa urahisi
Pamoja na ule mfuko wa maji.
Ukuaji wa haraka husabisha
kukunjika kwa kijitoto
ambayo kwa kawaida huwa umenyooka.
Mfanyiko huu hujumuisha
sehemu ya ule mfuko maji
na kuwa sehemu ya kuta
za kiungulia
na kuunda kifua
na sehemu za tumbo
wa huyu binadamu chipuzi.
|