CineAmnios y capas germinales |
Compre ahoraDe La biología del desarrollo prenatal |
Guión: Kufikia wiki 1 chembe mrundiko ya ndani huunda rusu mbili huitwao hipoblast a nyingine, epiblast. Hipoplasti huzalisha ule mfuko wa maji, ambayo ni sehemu moja wapo wa miundo kupitia kwayo chakula kutoka kwa mama hufukia mtoto. chembe kutoka epiblast huunda mfuko mwepesi hufunikayo mtoto huitwao aminion, ambamo kwayo embroyoni na kijusu kilicho kua hulelewa hadi kuzalawi. Takriban wiki 2 ½ epiblasti utakuwa umeunda chembe 3 maalum au miundo chipuzi rusu huitwao ectodam, endodam, na mesodam. Ectodam huchipuza na kuwa sehemu misingi mingi ikiwamo ubongo, uti wa mgongo, michocheo, ngozi, vidole, na nywele. Endodam huzalisha sehemu za ndani za mfumo wa kufutia pumzi na viungulia, na huzalisha sehemu kubwa ya viungo muhimu kama vile ini na "pankrisi". Mesodam huunda moyo, figo, mifupa, ufupa mwororo, misuli, chembe za damu, na viungo vinginevyo. |
Todas las edades en referencia a la fecundación, no al último período menstrual.
|
< Anterior | Ver fotos instantáneas | Siguiente > |