CineDe la fecundación al nacimiento y los años siguientes |
Compre ahoraDe La biología del desarrollo prenatal |
Guión: Kuanzia kutunga mimba hadi kuzaliwa kwa mtoto na baadaye, Kukua kwa binadamu ni mfanyiko uendeleayo bila kikomo na ngumu. Matokeo mapya ya utafiti kuhusu mfanyiko huu wa kustajabisha huendelea kudhihirisha athari za ukuaji wa kijusu katika afya ya binadamu maishani kote. Jinsi ufahamu wetu wa ukuaji wa kijusu unavyo zidi kuimarika ndivyo uwezo wetu wa kuimarisha afya unavoy zidi kuwa bora zaidi kabla na baada ya mtu kuzaliwa. |
Todas las edades en referencia a la fecundación, no al último período menstrual.
|
< Anterior | Siguiente > |