CineSentido del olfato |
Compre ahoraDe La biología del desarrollo prenatal |
Guión: Vifaa vyote vinavyo takikana Kwa mfanyiko wa kunusa upo tayari. Utafiti uliohusisha watoto waliozaliwa kabla ya wakati huonyesha uwezo wa watoto hawa kunusu hata mapema ya wiki 26 baada ya kutunga mimba. Kitu kitamu kikiweka katika ule mfuko-maji ya aminiotiki uongeza kiwango cha kumeza kwa kijusu. Nayo upungufu wa kumeza, kinyume na hali hufuatia kuwekwa kwa kitu chungu mle. Sura ya uso ubadilika kwa kawaida kutekemea machungu ama utamu. |
Todas las edades en referencia a la fecundación, no al último período menstrual.
Un mes = 4 semanas.
|
< Anterior | Ver fotos instantáneas | Siguiente > |